Tamasha la Infinx Fanfest lilijumisha wasanii na Fans kutoka nchi mbalimbali kwa pamoja walitengeneza video isiyopungua dakika 45 iliyoruka live @InfinixMobile ambapo kila mmoja aliweza kuonyesha uhodari wake ama wao kupitia kuimba, kucheza na jinsi ambavyo mashabiki walivyopata nafasi ya kushuhudia uwezo ya camera NOTE 8 night mode.
Kutoka nchini Tanzania Tamasha hili liliwakilishwa na msanii hemed (PHD) yeye alipata nafasi ya kuwafikia mashabiki wa Infinix kupitia wimbo wake pendwa wa Medicine na Kenya iliwakilishwa na msanii maarufu Octopizo yeye alijumuika na Fans wa Infinix na kuimba nao kwa pamoja.
Kwa ufupi night mode ni teknolijia inayopatikana katika kamera ya Infinix NOTE 8 yenye Megapixel 64 na sifa na kubwa ya night mode kupiga picha za usiku zenye uangavu na kuvutia lakini pia ukitembelea app ya Infinix Xclub utakutana na picha zilizopigwa kupitia teknolojia ya night model kupitia challenge ya FanFest ambapo mshindi alizawadiwa Infinix NOTE 8.
Kwa mwaka huu wa 2020 kupitia tamasha la FanFest na HOT 10 Rap Relay ambapo mshindi alizawadiwa Infinix HOT 10 na kuingia katika Guiness world record book. Hii ni ishara Infinix Mobility inatambua na kuthamini mchango wa mashabiki.
Jiweke karibu na Infinix tembelea https://www.instagram.com/infinixmobiletz/ https://www.infinix.club/
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment