KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA SEGEREA | Tarimo Blog

 
Mjasiliamali wa Viatu katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam,akitayarisha viatu kwa lengo la kuuuza kwa wateja  wanaotoka maeneo mbalimbali watakaofika katika kituo hicho  kama inavyoonekana pichani.
Mjasiliamali wa mbogamboga katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam, akitayarisha mbogamboga kwa lengo la kuwauzia kwa wateja wanaotoka maeneo mbalimbali watakaofika katika kituo hicho  kama inavyoonekana pichani.Wajasiliamali maarufu kama machinga wakiwahudumia wateja wao wanaotoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam leo kama wanavyo onekana pichani  katika kituo cha Mabasi Tabata Segerea Wilaya ya Ilala Jijini Da es Salaam.

(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2