Bei ya Mchele leo Januari 14, 2021 katika soko Kuu la Ubungo wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam Kama inavyoonekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinunu mahitaji yao mbalimbali katika duka la vyakula lilipo katika soko Kuu la Ubungo wilaya ya Ubungo jijini Dar e salaam kama inavyoonekana pichani.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment