MASACHE KASAKA AZINDUWA KAMPENI YA KUPANDA MITI CHUNYA. | Tarimo Blog


Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka azinduwa Kampeni ya upandaji Miti kwa Mwaka 2021 akiwa Mgeni Rasmi Katika uzinduzi huo, malengo ya Wilaya ya Chunya ni Kupanda Miti zaidi ya Millioni moja katika maeneo tofauti tofauti ya wilaya ya chunya.

Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akipanda Mti Katika uzinduzi wa kampeni Wilaya ya Chunya.
Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akipita kuwatembelea vijana wa SKAUTI waliohudhulia katika hafla hiyo ya upandaji wa miti katika maeneo tofauti tofauti ya wilayani Chunya.


Mbunge wa jimbo la Lupa (Chunya) Mh.Masache Kasaka akisikiliza na kupokea risala iliyoandaliwa na ofisi ya mkuu wa wilaya katika uzinduzi wa Kampeni ya upandaji Miti kwa Mwaka 2021.</ b>


Muonekano wa Mti ulio pandwa na Mbunge wa jimbo la Lupa mh. Masache Kasaka ikiwa ni ishara ya upandaji Miti katika wilaya ya chunya na zoezi hili litaendelea kuanzia sasa katika maeneo tofauti tofauti ya wilaya ya Chunya.
PICHA NA OFISI YA MBUNGE CHUNYA

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2