Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na waandishi wa habari pamoja na kujibu maswali aliyoulizwa na Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo wakati wa Ziara yake ya kukagua miundombinu ya maji iliyopo katika Jimbo hilo.
Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo(kulia) akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja(kushoto) pamoja na maofisa wa DAWASA alipofanya ziara katika mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu katika Wilaya ya Kibaha Vijijini mkoani Pwani. Ziara yake iliyokuwa na lengo la kupata taarifa za utekelezaji wa Miradi ya maji katika jimbo hilo.
Diwani kata ya Malandizi Euphrasia Kadala akizungumza na waandishi wa habari pamoja na kutoa changamoto za wananchi wa kata hiyo kuhusiana na masuala ya maji wakati wa Ziara ya Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo pamoja na madiwani wa Jimbo hilo kwenye mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu.
Diwani kata ya Kawawa, Alfred Malega akizungumza na waandishi wa habari pamoja na kutoa changamoto za wananchi wa kata hiyo kuhusiana na masuala ya maji wakati wa Ziara ya Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo pamoja na madiwani wa Jimbo hilo kwenye mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitolea ufafanuzi sehemu moja wapo inayotumika kuchujia maji kwa Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo pamoja na madiwani walifika kwenye Ziara ya kutembelea mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja, Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo pamoja na baadhi madiwani waolifika kwenye ziara ya kutembelea mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Mhandisi Cyprian Luhemeja akitolea ufafanuzi kuhusu miradi wa mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu wakati wa Ziara ya Mbunge wa Kihaba Vijijini Michael Mwakamo pamoja na madiwani wa Jimbo hilo.
Baadhi ya mitambo iliyopo katika mtambo wa Kuzalisha maji Ruvu Juu
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment