RAIS wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni ametangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais kupitia uchaguzi mkuu wa Urais kwa kupata kura 5,851, 037 ambazo ni sawa na asilimia 58.64 huku mpinzani wake Robert Kyagulanyi maarufu kama Bob Wine akishika nafasi ya pili kwa kupata kura 3,475,398 sawa na asilimia 34.83 ya kura zote zilizopigwa.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment