NAIBU WAZIRI CHILO AWASILI KAMBI YA MAFUNZO YA UHAMIAJI BOMA KICHAKAMIBA,AKAGUA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA MKOANI TANGA | Tarimo Blog

 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia), akimsikiliza Mtaalamu wa Majengo kutoka Idara ya Uhamiaji, Konstebo Denis Assey alipotembelea Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko Wilayani Mkinga,Mkoani Tanga, leo.Wapili kulia ni Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala.

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo (kulia), akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhamiaji cha Kikanda (TRITA),Naibu Kamishna  Abdallah Towo baada ya kuwasili  Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga, leo

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Mkinga,Yona Mark(kulia), baada ya kuwasili  Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga,leo

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiteta jambo na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala(kulia)baada ya kuwasili  Kambi ya Mafunzo ya Uhamiaji Boma Kichakamiba iliyoko wilayani Mkinga, mkoani Tanga,leo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2