RAIS WA ZANZIBAR DK.MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MSIKITI WA MIEMBENI | Tarimo Blog

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi  akisikiliza Hutuba ya Sala ya Ijumaa ikitowa na Sheikh Khalid Ali Mfaume Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar, kabla ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembezi Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwasalimia na kuzungumza nao baada ya kumalizika kwa  Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimiana na kuzungumza na Waumini wa Kiislam baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar leo 15-1-2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua iliyosomwa na Katibu wa Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waumini baada ya kumaliza kwa Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Msikiti wa Miembeni Jijini Zanzibar leo 15/1/2021.(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2