Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad alipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita. Katikati ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiangalia leo Alhamisi Januari 14, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Shariff Hamad katika Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Alhamisi Januari 14, 2021 .PICHA NA IKULU
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment