Waziri Bashungwa Ashirika Tamasha la Circus Mama Afrika | Tarimo Blog

 


 

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa ameshirika katika tamasha la Circus Mama Afrika lililotayalishwa kwa kiwango cha kimataifa lenye mchanganyiko wa sarakasi, nyimbo, ngoma na burudani mbalimbali lenye lengo la kuwapa watazamaji ufahamu wa mila ya desturi za Afrika.

Onyesho hilo linafanyika tangu tarehe 22/12/2020 hadi mwishoni mwa mwezi wa pili wa mwaka 2021 katika uwanja wa jeshi Masaki mwisho Dar es salam.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2