Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki na Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi wakipata maelezo kuhusu minofu ya samaki wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8,
2021
Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na wavuvi na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa samaki la Chato Mkoani Geita alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo rasmi wa pande hizo mbili mjini Chato mkoa wa Geita leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini
PICHA NA IKULU
Waziri wa Mambo Nje wa China, Mhe. Wang Yi akipewa maelezo na Balozi wa China nchini Tanzania Wang Ke kuhusu uchakataji wa mabondo ya samaki.
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe Mashimba Ndaki akimpatia maelezo Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi kuhusu samaki wa aina mbalimbali na minofu yao wanaopatikana katika Ziwa Victoria wakati mgeni huyo alipotembelea Mwalo wa Chato mkoani Geita mapema asubuhi ya leo Ijumaa Januari 8, 2021
Muendelezo wa ziara ya Waziri wa Mambo Nje wa China, Mhe. Wang Yi ambapo leo tarehe 8 Januari, 2021 ametembelea mwalo wa Chato nakupewa taarifa fupi ya maendeleo ya sekta ya uvuvi nchini na Waziri wa Uvuvi, Mhe. Mashimba Ndaki.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment