ORPP Yaendelea Kutoa Elimu Ujazaji Fomu Marejesho ya Gharama za Uchaguzi | Tarimo Blog

 

Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa(ARPP), Sisty Nyahoza akisisitiza jambo mbele ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za marejesho ya gharama za uchaguzi jana  tarehe 25 Februari 2021 katika ukumbi wa Samwel Sitta zilizopo Ofisi ndogo za Bunge jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yamewashirikisha viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).Kulia ni Mwenyekiti wa mafunzo hayo Bi. Hollo Kazi.

Kaimu Msajili Msaidizi anayeshughulikia Uchaguzi na Ruzuku, Bi. Hollo Kazi akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).Kushoto ni Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa (ARPP), Bw. Sisty Nyahoza.

Katibu Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Maajaliwa Kyara akichangia mada \wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).

Mhasibu waa Chama cha Kijamii (CCK), Bibi…… akichangia mada \wakati wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 jana jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK).

Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya namna ya kujaza fomu za Marejesho ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa Kitaifa wa Vyama vya Siasa vilivyoshiriki uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 leo jijini Dar es Salaam. Mafunzo hayo yameudhuriwa na viongozi kutoka Chama cha Sauti ya Umma (SAU) na Chama cha Kijamii (CCK). Picha  na ORPP


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2