RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA SOKO KUU LA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM LEO | Tarimo Blog

 

Muonekano kutoka angani wa jengo jipya la Soko Kuu la Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar es salaam ambalo limekewa jiwe la msingi na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akifunua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo jipya
la Soko Kuu la Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar
es salaam : Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi wa jengo jipya la
Soko Kuu la Kisutu katika Barabara ya Bibi Titi Mohamed jijini Dar es
salaam.

PICHA NA IKULU


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2