RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA JENGO LA JITEGEMEE NA STUDIO MPYA ZA CHANNEL TEN PLUS, RADIO MAGIC FM NA RADIO CLASSIC FM | Tarimo Blog

 

 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe
Magufuli akiwasili mtaa. wa Lumumba jijini Dar es salaam kuzindua
rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021

Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizundua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studi za Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021

Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika studio mpya za Magic FM baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM Mtaa wa Lumumba
jijini Dar es salaam leo Alhamisi Februari 25, 2021

 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
akiondoka baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na
Studi za Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi
Februari 25, 2021 Rais wa. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akitembelea maeneno mbalimbali baada ya kuzindua rasmi jengo la Jitegemee House pamoja na Studio za
Channel Ten Plu,Radio Magic FM na Radio Classic FM leo Alhamisi Februari 25, 2021.

PICHA NA IKULU


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2