Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akizungumza wakati akifungua Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma ambapo aliwataka kuongeza tija na ufanisi katika majukumu yao ya kila siku ya kuwahudumia wananchi.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Naibu Katibu Mkuu wa TUGHE Taifa , Amani Msuya akichangia mada wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi lililofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu na Utawala wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Emmanuel Kayuni akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Fedha na Usimamizi wa Miradi, Idara ya Huduma kwa Wakimbizi, Jenitha Ndone akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Joseph Ngatunga akizungumza wakati wa Kikao cha Baraza Dogo la Wafanyakazi wa wizara hiyo kilichofanyika jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment