MABASI 35 MABOVU KITUO CHA MAGUFULI MBEZI LUIS YARUDISHWA-ASP SAMWIX | Tarimo Blog



  Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix (kushoto)akiwaelekeza Askari wa Usalama Barabara namna ya kukaguwa gari kwenye injini kabla halijaanza safari leo kastika Kituo  Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis Mkoa wa Dar es Salaam. (Picha na Emmanuel Massaka)
Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo Kkuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix akikagua tairi ya moja ya basi linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mwanza katika  kituo Kikuu cha  Mabasi cha Mgufuli leo ambapo amewaomba wamiliki wa magari kupeleka magali yao yakaguliwe kabla ya kubeba abiria ilikupunnguza usumbufu kwa abiria.
Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam ASP Ibrahim Samwix akimwelekeza dereva wa gari namna ya kutubua gari ikiwa na matazo ya injini kabla kuanza safari.

  Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam, ASP Ibrahim Samwix akikagua  tairi ya gari katika kituo hicho Kikuu cha mabasi ya mikoani na nje ya nchi leo Dar es Salaam ikiwa ni utaratibu wa ukaguzi kabla ya mabasi hayo hajaanza safari.

Kama ivyoonekana pichani Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam,ASP Ibrahim Samwix  leo akiendelea kukaguwa magari mbalimbali kabla ya kuanza safari katika Kituo Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi Luis Mkoa wa Dar es Salaam.
Abiria akilalamikia kurudishiwa nauli katika basi alilotaka kusafiri nalo leo ambalo limerudishwa kituoni  kutokana na kuwa na matatizo  kwenye injini kabla halijaanza safari  leo katika Kituo Kikuu cha Mabasi Mbezi Luis Dar es Salaam.
Sehemu ya mabasi yakiwa katika kituo Kikuu cha Mabasi Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam.
(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Mkuu wa Usalama Barabarani  Kituo  Kikuu cha Mabasi cha Magufuli Mbezi luis Dar es eslaam,ASP Ibrahim Samwix akionesha vipuli mbalimbali ailivyovikutwa kwenye magari vikiwa havifai kwa matatumi  kama vinavyoonekana pichani. ilikuoa maisha ya abiria magari 35 ameyaludisha katika kituo Kikuu cha Magufuli ilikubadilisha vipuli kwenye magari hayo.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2