Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang wakwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment