SIMBACHAWENE AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI AFUNGIA MADEREVA 10 KWA UKIUKAJI WA SHERIA ZA BARABARANI | Tarimo Blog

 

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma leo, ambapo ametangaza majina kumi ya madereva waliofungiwa kuendesha mabasi kutokana na ukiukaji wa sheria za usalama barabarani.Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo Khamis Hamza Chilo.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari uliofanyika katika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dodoma leo, ambapo ametangaza majina kumi ya madereva waliofungiwa kuendesha mabasi kutokana na ukiukaji wa sheria za usalama barabarani.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2