MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO APIGA KURA KUCHAGUA MBUNGE BUHIGWE | Tarimo Blog


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akipiga Kura ya katika Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisubiria kukabidhiwa karatasi ya kupiga kura kutoka kwa Msimamizi wa Kituo cha kupiga kura Polling Station Wilayani Buhigwe MKoani  Kigoma Anania Emily leo Mei 16,2021 kwa ajili ya Uchaguzi mdogo wa Ubunge wa Jimbo la Buhigwe (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2