MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AZURU KABURI LA HAYATI DKT.MAGUFULI CHATO | Tarimo Blog

 

   

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizuru Kaburi la aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposili na mama kwa muda Wilayani Chato alipokuwa njiani akielekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma kwa ajili ya kufunga Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM za Jimbo la Muhambwe kwa ajili ya UIchaguzi Mdogo wa Kiti cha Ubunge unaotarajiwa kufanyika Jumapili tarehe 16 Mei 2021 kufuatia Kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo Hayati Nditye.

Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2