MBUNGE MAVUNDE 'AWASHIKA MKONO' VIONGOZI WA DINI DODOMA KUELEKEA SIKUKUU YA EID EL FITRI | Tarimo Blog

 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na kuwashika mkono viongozi hao kwa kutoa Zakatul fitr

Viongozi hao wa dini walitoa shukran zao za dhati kwa Kwa Mhe Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini kupitia kwa Sheikh wa mkoa Dodoma Alhaj Sheikh Mustafa Rajabu Shabani kwa kuwathamini katika kipindi hiki Cha mfungo wa mwishoni mwa Ramadhani.







Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2