Rais Samia Mgeni Rasmi Mei Mosi leo jijini Mwanza | Tarimo Blog
NaMpekuzi-0
Kutoka katika Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza ambapo yanafanyika maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Kitaifa na Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Tayari viongozi mbambali wa Serikali wameanza kuwasili tayari kwa ajili ya shughuli hiyo.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment