Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Patricia Salehe Fikirini kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Penterine Kente kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lilian Leonard Mashaka kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Dkt. Paul Faustine Kihwelo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lucia Gamuya Kairo kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Issa John Maige kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Abraham Makofi Mwampashi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Katarina Tengia Revocati kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Biswalo Eutropius Kachele Mganga kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Zahra Abdallah Maruma kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Devotha Christopher Kamuzora kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Messe John Chaba kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Frank Habibu Mahimbali kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Majaji wa Mahakama ya Rufani, Majaji wa Mahakama Kuu pamoja na Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uapisho Ikulu Jijini Dar es Salaam. Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho wao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Hamis Juma, Spika wa Bunge Job Ndugai, Katibu Mkuu Ikulu Dkt. Moses Kusiluka (wakwanza kulia waliokaa) akiwa katika picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufani mara baada ya hafla ya kuwaapisha iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment