SOKO LA KARIAKOO LINAVYOKUSANYA WATU IFIKAPO MISMU WA SIKUKUU | Tarimo Blog


Wakazi wa  mkoa Dar es Salaam na maeneo ya jirani wakiwa wamefurika kwa wingi katika Soko Kuu la Kariakoo wakiwa katika harakati ya kupata mahitaji  mbalimbali kwaajili ya  maandalizi ya sikukuu Eid el Fitri  hali hii imekuwa ni kawaida kutokea katika eneo hili la Karikakoo hasa inapofika msimu wa sikukuu.(Picha zote na Emmanuel Massaka, Michuzi Tv)
Sehemu ya umati wa watu uliofurika katika mtaa wa Congo katika soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam wakiendelea kujitafutia mahitaji yao ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya sikuku Eid
Baadhi ya wakazi wa mkoa wa  Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kununua bidhaa mbalimbali ikiwemo viatu kama wanavyoonekana ikiwa ni maandalizi ya Siku kuu ya Idd el Fitri leo tarehe 12 Mei, 2021.
Baadhi ya wakazi  mkoa wa  Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kununua vyombo kama inavyoonekana na pichani leo tarehe 12 Mei, 2021.(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2