MWANYIKA AIBANA SERIKALI BUNGENI NI LINI TATIZO LA UMEME NJOMBE MJINI LITAISHA | Tarimo Blog




Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameibana serikali kwa kuhoji ni linivijiji 20 jimboni humo vitaingizwa kwenye mpango wa kuwekewa umeme wa REA na tatizo la ukatikaji wa mara kwa mara wa umeme utaisha?


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Mwanyika akihoji wakati wa maswali na majibu bungeni Dodoma pamoja na majibu kutoka Wizara ya Nishati
.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2