WAZIRI MKUU MAJALIWA AIKABIDHI PSSSF HATI KWA KUFANIKISHA MAONESHO YA MAKISATU DODOMA | Tarimo Blog




Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi hati Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA. Hosea Kashimba kwa kutambua mchango wa Mfuko wa PSSSF katika kufanikisha maonesho ya Mashindano ya kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na Ubunifu (MAKISATU) yaliyofanyika katika viwanja vya Jamhuri jijini Dodoma, Mei 2021.




Waziri Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wadau waliofanikisha maonesho hayo.



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2