AWESO ATEKELEZA MAONO YA RAIS SAMIA KUHUSU USHIRIKIANO NA SERIKALI YA ZANZIBAR KWA VITENDO | Tarimo Blog

Waziri wa Maji  Mhe. Jumaa Aweso (Mb) pamoja na Waziri wa Maji, Nishati na Madini  wa Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame wakisaini makubaliano ya pamoja ya ushirikiano kwa wizara hizo mbili.

Makubaliano hayo yanalenga kutoa fursa kwa wizara hizo mbili zenye dhamana ya  kutoa huduma ya maji  kushirikishana uzoefu na mbinu mbalimbali ili kulifikia lengo la kufikisha huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza kwa wananchi.






Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2