MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetengua hukumu ya kesi ya uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wa Chama cha Chadema Freeman Mbowe na wenzake na kuamuru warejeshewe kiasi cha sh. Milioni 350 walicholipa kama faini.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Irvin Mgeta leo Juni 25,2021.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment