KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA SHIRIKI BONANZA LA KUCHANGIA MILIONI 100 KWA AJILI YA WATOTO NJITI | Tarimo Blog

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya Prof. Abel Makubi leo ameshiriki Bonanza la Mazoezi ya kutembea lililoanzia Mlimani City Dar kwa ajili ya kuchangia mil 100 kwa watoto njiti  Kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Katika bonanza Hilo Prof. Makubi amehamasisha wananchi  kufanya mazoezi Mara kwa Mara ili kujikinga na Magonjwa yasiyoambukiza

Pia Prof. Makubi amehamasisha wananchi kujiunga na  Bima ya afya.


Katibu Mkuu huyo alimwakilisha Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima.




 

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2