MAKAMU WA RAIS ZANZIBAR AMALIZA ZIARA MAALUM DAR ES SALAAM | Tarimo Blog





 MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman, amerejea nyumbani kisiwani Zanzibar akitokea jijini Dar es Salaam alikokuwepo kwa shughuli maalum za kichama tangu tarehe 19 Juni.

Akiwa jijini Dar es Salaam, Mjumbe huyo wa Kamati Kuu cha ACT Wazalendo alihudhuria kikao cha kamati kuu, alifanya ziara ya kuwajulia hali wagonjwa na wananchi wenye matatizo mbali mbali pamoja na kuzungumza na wanachama na viongozi wa Chama hicho ngazi ya Taifa, Majimbo na Kata ya Mbagala Kuu katika ukumbi wa Masai Camp uliopo Mbagala.



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2