RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI SADC | Tarimo Blog





RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC unaofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Joaquim Chissano uliopo Maputo nchini Msumbiji leo tarehe 23 Juni, 2021.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2