MSUYA AIPIGA TAFU CHANEDA KUELEKEA 'KAZI IENDELEE CUP 2021' | Tarimo Blog



 MRATIBU wa michezo kwa watoto mashuleni David Msuya amemkabidhi katibu mkuu wa Chama cha Netball Mkoa wa Dar es Salaam (CHANEDA,) Joseph Stanslaus Ng'anza kiasi cha shilingi laki nne kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya 'Kazi Iendelee Cup 2021'

  Mashindano hayo ni kwa lengo la kuunga mkono jitihada za serkali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hssan katika kuleta maendeleo kwa wananchi.


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2