Katika akademi ya ubashiri huko mchezaji atajifunza namna sahihi ya kubashiri ili kupata matokeo chanya, hutoa elimu ya aina ipi ya bashiri mshiriki atumie ili atengeneze mkwanja kila wakati. Mchezaji anapaswa kuwa mbunifu pindi anapokuwa anaandaa bashiri zake kwa ajili ya kubashiri, ili ashinde kirahisi bashiri yake kuna mambo ni muhimu anapaswa kuyatambua kabla na baada ya kubashiri ,
Akademi ya ubashiri ni shule kwa mbashiri yenye majawabu chanya kwa mchezaji, kwani utoa mongozo sahihi wa namna gani mbashiri anatakiwa kuwa, vitu gani muhimu anatakiwa kufanya ili kupata matokeo sahihi na kumuondolea uwezekano wa kukosea kosea mara kwa mara.
Dondoo za utabiri ni muhimu sana kwa mchezaji kuzifuatilia kwa ukaribu, endapo kama unataka matokeo ya ushindi, kupitia dondoo mchezaji anaweza kufahamu msimamo wa ligi flani au kujua hali ya timu zinachocheza na hali zao za kimchezo, utatambua na kufahamu Kampuni bora ya kubashiri utakayo kuwa tayari kuitumia. Ukiondoa bahati vidokezo na mbinu za mchezaji dondoo pia zinaweza kukupa matokeo.
Unapo bashiri lazima uwe na uelewa wa kutosha na kufahamu mambo muhimu yatakayo kuongezea ufundi na utaalamu wakutosha juu ya mchezo wa kubashiri na moja ya mambo hayo ni wachezaji wanapaswa kuelewa vizuri vidokezo vya ubashiri hapo watakuwa wameepuka majanga kupoteza bashiri na kila mara atakuwa anapata matokeo kwa sababu tu anazingatia vidokezo na dondoo zinazo tolewa na akademi ya bashiri iliyopo katika tovuti ya Tanzaniatips.
Akademi ya bashiri taarifa kuhusu michezo mbali mbali, historia ya timu mfumo mfumo wa timu, uchambua uchambuzi akinifu juu ya uwezo wa timu na ubora wa mchezaji au wachezaji juu ya timu shiriki, na mbashiri unaweza sasa kuchagua ni wapi utupe karata yako pindi unapoona hapa ndipo sahihi.
Hivyo basi wachezaji wanashauriwa kutokupuuzia taarifa zinazotolewa na katika akademi ya Tanzaniatips, kwa kufanya hivyo watakuwa wamejitengenezea nafasi kubwa ya kuibuka washindi katika bashiri zao, kujifunza mbinu na dondoo za alama ili kuongeza ufahamu na uelewa mkubwa kwa mbashiri. Katika tovuti ya Tanazniatips kuna washika mbalimbali ambao utawatumia kufanya ubashiri wako bila kuhama ukurasa wako unapokuwa mtanado na kujipatia bonas kibao.
Nimatumaini yangu kuwa akademi ya ubashiri ni chanzo sahihi cha taarifa kuhusu michezo hii ya kubashiri, hivyo kwa mchezaji kujifunza zaidi na kupitia pitia kurasa za akademi hizo katika wavuti mbalimbali usidia katika kuongeza ile asilimia ya kujinyakulia mkwanja na kupoteza uwezekano wakuto pata ushindi.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment