PSPTB YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI WANAWAKE KWENYE WIKI YA UTUMISHI WA UMMA | Tarimo Blog

 

Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akizungumza na viongozi wa PSPTB pamoja na waandishi wa habari Wanawake wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa kundi maalumu la Wanahabari Wanawake wa Dar es Salaam yenye lengo la kuwajengea uwezo Wanahabari hao juu ya masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower mkoani Dar es Salaam.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.
Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Paul Bilabaye akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa PSPTB pamoja na waandishi wa habari Wanawake kuhusu namna walivyojipanga kutoa Elimu kwa makundi mbalimbali ili kiweza kujua kazi zinazofanywa na Bodi hiyo pamoja na kujua fani ya Ununuzi na Ugavi wakati wa maadhimisho ya wiki ya utumishi wa umma.Mkurugenzi wa Fedha na Utawala wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Paul Bilabaye alimwakilsiha Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma (PSPTB) Godfred Mbanyi
Afisa Biashara mkoa wa Dar es Salaam, Thabit Massa akizungumza na waandishi wa habari Wanawake waliofika kwenye semina ya PSPTB kuhusu fursazilizopo mkoani humo na namna walivyojipanga kuwafikia wananchi mbalimbali kwa ajili ya utoaji wa Elimu ya Biashara pamoja na upatikanaji wa mikopo ya Serikali ikiwemo ya halmashauri
Mkuu wa kitengo Cha Masoko na Uhusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi Shamim Mdee akitoa ufafanuzi baadhi ya mambo kwenye Mafunzo  yenye lengo la kuwajengea uwezo Wanahabari  Wanawake kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower mkoani Dar es Salaam.
Baadhi ya maofisa kutoka Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), PSSSF, Benki ya NMB pamoja na waandishi wa habari wanawake wakifuatilia mada wakati wa ufunguzi wa Mafunzo kwa Waandishi wanawake yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi yaliyofanyika katika ukumbi wa PSSSF Golden Jubilee Tower mkoani Dar es Salaam.
 Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Taaluma wa Bodi ya wataalamu wa ununuzi na ugavi nchini Tanzania(PSPTB), Amos Mang'ombe akitoa mada kwa waandishi wa habari wanawake wakati wa Mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi 
Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo PSSSF pamoja na NMB mara baada ya kufanya ufunguzi wa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.
Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya pamoja na  wafanyakazi wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kufanya ufunguzi wa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.
Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussan Abbas akiwa kwenye picha ya pamoja na  waandishi wanawake mara baada ya kufanya ufunguzi wa mafunzo yenye lengo la kuwajengea uwezo kuhusu masuala mbalimbali ya fani ya Ununuzi na Ugavi.Katibu tawala wa mkoa wa Dar es Salaam, Hussein Abbas amemwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla.




Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2