RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI MAZISHI YA MAREHEMU MZEE MSURU MUHIDIN | Tarimo Blog

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akisalimiana na viongozi na  Waislamu na Wananchi baada ya  kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini na pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani katika Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa  Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akijumuika na Viongozi na Waislamu kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini   pia aliwahi kuwa  Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani, Swala  iliongozwa na Naibu Kadhi Mkuu Sheikh Hassan Othman Ngwali (mbele)  katika Msikiti wa Muembe Mimba Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi leo,Marehemu atazikwa  Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi wakati alipofika   Msikiti wa Muembemimba Wilaya ya Mjini Mkoa Mjini Magharibi, kushiriki  kumswalia Marehemu Mzee Msuri Muhidini aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Mjini   pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Tawi la CCM Mikunguni Jimbo la Kwahani,Marehemu atazikwa  Kijijini kwao Unguja Ukuu Kaebona Wilaya ya Kati Unguja.(PICHA NA IKULU.)

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2