RAIS MWINYI AHUTUBIA SIKU YA MAADHIMISHO YA KUPINGA MATUMIZI NA USAFIRISHAJI DAWA ZA KULEVYA DUNIANI | Tarimo Blog

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuhudhuria Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani.zilizofanyika katika ukumbi huo leo 26-6-2021..(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika jukwaa akipokea Maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizoadhimisha Zanzibar katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

VIJANA wakishiriki katika maandamano ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Mawaziri wa SMZ, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MWAKILISHI wa Waliopata Nafuu kutoka (Recovery Community Zanzibar) Ndg. Mikidadi Said Kassim akizungumza na kutowa salamu za waliopata nafuu na kuacha matumizi ya Dawa za Kulevya Zanzibar, wakati Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar  ambae pia ni Mwenyekiti wa Tume ya Kitaifa ya Uratibu na Kudhibiti Dawa za Kulevya Zanzibar.Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizunguma katika hafla hiyo kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kuhutubia hafla hiyo katika ukumbi wa Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Kilele cha Siku ya Maadhimisho ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, zilizofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MKURUGENZI Mtendaji wa Tume ya Uratibu na Udhibiti wa Dawa za Kulevya Zanzibar Luteni Kanali Burhani Zuberi Nassor, akizungumza na kutowa Taarifa fupi ya Wiki ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Kupinga Matumizi na Usafirishaji wa Dawa za Kulevya Duniani, iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)


Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2