Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto), akimuonyesha nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta hatua za utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola wakati alipotembelea kiwandani hapo. Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (Kulia), akipata maelekezo kutoka kwa Meneja wa Kitecho cha Ufungaji cha Coca-Cola Kwanza, Jamah Adam (Kushoto) kuhusu mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola wakati alipotembelea kiwandani hapo. Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
Menenja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto), akimkabidhi zawadi nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta wakati alipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kujionea mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola. Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (Katikati), akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mauzo wa Coca-Cola Kwanza, Eric Ongara (Kulia) kuhusu kinywaji cha Coca-Cola na shughuli zake nchini wakati alipotembelea kiwandani hapo. Aikuatilia kwa makini mazungumzo hayo kulia ni Mkurugenzi wa Uchukuzi wa Coca-Cola Kwanza, Haji Ally Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (Kushoto), akijibu maswali ya waandishi wa Habari (hawapo pichani) wakati alipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kujionea mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola. Pamoja naye kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Samatta, Habuna Habibu Makanyangiro. Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
DJ D Ommy au maarufu kama ‘The International DJ’ naye alikuwepo kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO’ ya kampuni ya Coca-Cola Tanzania ambayo ilihudhuriwa na kuzinduliwa rasmi na Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (hayupo pichani) wakati alipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kujionea mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola.
Ubao wa maelekezo ya namna ya Watanzania kushiriki katika kampeni ya ‘WASHA MDUNDO’ iliyozinduliwa na kinywaji cha Coca-Cola Tanzania. Uzinduzi rasmi wa kampeni hiyo ulihudhuriwa na nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (hayupo pichani) wakati alipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kujionea mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola.
Menenja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto), akiwa amepozi katika picha na nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta wakati alipotembelea kiwanda cha kampuni hiyo kujionea mchakato mzima wa utengenezaji wa kinywaji cha Coca-Cola. Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishirika kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment