WAKIMBIZA MWENGE KITAIFA 'HAWADAGANYIKI' WAKURUGENZI MJIPANGE | Tarimo Blog

Mwenge wa uhuru kwa sasa mbio zake zimefika katika mkoa wa Kilimanjaro ambapo unapita katika wilaya Sita kukagua na kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo.

Kubwa zaidi na la kufurahisha mbali na kupokea taarifa za miradi mbalimbali ya Mwenge pia wakimbiza mwenge wamekuwa wakifanya ukaguzi kila eneo la mradi kama wanavyoonekana  wakikagua moja ya matenki ya maji ya ya Mradi wa maji wa Kasapo na Makanya unaohusu  ukarabati pamoja na upanuzi wa Miundombinu.

Mradi huu  unatekelezwa mwa fedha za mfuko wa maji wa Taifa (NWF) kwa  gharama ya kiasi cha Mil  747.9





 
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2