WASHIRIKI UMITASHUMTA, UMISETA 2021 WAWASILI MTWARA | Tarimo Blog





Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwasili mkoani Mtwara tayari kwa kushiriki michezo ya UMITASHUMTA na UMISETA 2021, Mashindano yatakayofanyika kitaifa mkoani Mtwara na uzinduzi utafanyika Juni 8, 2021 katika uwanja wa Nangwanda Sijaona na mgeni rasmi katika uzinduzi huo ni Mhe. Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2