Mjane auawa kikatili kutokana na kuishi eneo la familia ya marehemu | Tarimo Blog

WATU wanne (wanafamilia) wakazi wa Lunguya kata ya Mtwango wilaya ya Njombe wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuhusika na mauji kwa kumkata na vitu vyenye ncha kali Bi Emma Mfikwa (43) kutokana na kula njama za kufanikisha kuuawa kwa mjane huyo aliyekuwa na mgogoro na wanafamilia kwa kuishi nyumba aliyojenga na mume wake.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2