Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu kwenye Banda la Bodi hiyo alipofika na kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo ndani ya jengo la Wizara ya Mipango kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu cha Wizara ya Fedha na Mipango mara baada ya kuwasili kwenye jengo hilo ili kujionea huduma zinazotolewa na taasisi zilizoko chini ya wizara hiyo kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mchambuzi wa Mikopo Mchambuzi wa Mikopo kutoka Mfuko wa SELF, Moses Elias Ntambi akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno kuhusu namna wanavyofanya kazi hasa kipindi hiki cha Sabasaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu katika Banda la Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB) mara baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mahusiano kwa Umma wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Bi. Shamim Mdee(katikati) kuhusu namna Bodi hiyo ilivyojioanga kutoa huduma mbalimbali kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisikiliza Mhadhiri Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Christopher Mdoe akitolea ufafanuzi kuhusu kozi zinazotolewa na chuo hicho kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akimsikiliza Afisa kutoka GPSA Jimmy Abdiel(wa pili kulia) alipokiwa natokea ufafanuzi kuhusu kazi zinazofanywa na Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) alipotembelea Banda hilo lililopo kwenye jemgo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza jambo mara baada ya kupata maelezo kwenye Banda la Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (GPSA) alipotembelea Banda hilo lililopo kwenye jemgo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akisaini Kitabu kwenye Banda la Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM)
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akizungumza jambo na Afisa wa UTT kwenye Banda lao
Afisa Uhusiano Mwandamizi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) Sarah Goroi akitoa ufafanuzi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno kuhusu namna walivyojipanga kufanya udahili kwenye mwaka wa masomo wa 2021/22.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akimsikikiza Mkuu wa Masoko na Uhusiano wa Umma- TIA, Lillian Mpanju Rugaitika alipokuwa anatolea ufafanuzi kuhusu Chuo hicho kinavyofanya kazi na pia namna walivyojipanga kwenye udahili wa mwaka ujao wa masomo kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Taifa ya Uhasibu na Ukaguzi wa Hesabu (NBAA), CPA Pius A. Maneno akiwa kwenye picha ya Pamoja na wafanyakazi wenzake wa Bodi hiyo mara baada ya kumaliza kutembelea mabanda mbalimbali yaliyopo ndani ya jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye Maonesho ya 45 ya Kimataifa ya Biashara yanayofanyika katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment