Wakazi wa Kigamboni na Mkuranga kuondokana na kero ya maji | Tarimo Blog

 


Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akipokea taarifa kuhusu mradi wa maji wa Kigamboni utakavyoweza kuhudumia kata 7 za Kigamboni wakati wa ziara yake iliyofanyika Kigamboni na Mkuranga.
Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi kuhusu tenki linalojengwa katika eneo la Kigamboni litakalokuwa na ujazo wa maji Milioni 15 mara baada ya kutembea ujenzi wa tanki hilo.
Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi akiwatambulisha wafanyakazi wa DAWASA pamoja na wakandarasi wa mradi wa Kisarawe II kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi mara baada ya kuwasili ili kukagua mradi wa maji wa Kigamboni utakavyoweza kuhudumia kata 7 za Kigamboni wakati wa ziara yake iliyofanyika Kigamboni unaotekelezwa na DAWASA.
 Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akikagua ujenzi wa tenki la kuhufadhia maji litakalokuwa  na ujazo wa milioni 15 za maji kutoka kwenye visima mbalimbali vilivyochimbwa katika Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam.
Muonekano wa tenki la maji linalojengwa na DAWASA katika kata ya Kisarawe II litakalokuwa na ujazo wa milioni 15 za maji na kumaliza hadha ya maji katika kata zote Saba za Kigamboni.
Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi kuhusu moja ya kisima chenye urefu mita 603.5 kwenda chini kilichopo katika kata ya Kisarawe II katika Wilaya ya Kigamboni wakati wa Ziara yake ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa mradi wa Kisarawe II Mehrdad Talebi(wa kwanza kulia) kuhusu namna walivyoweza kwenda kwa wakati kwenye uchimbaji wa visima hivyo pamoja na ubora wa maji ya visima hivyo alipotembelea moja ya kisima chenye urefu mita 603.5 kwenda chini kilichopo katika kata ya Kisarawe II Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akizungumza na viongozi wa DAWASA pamoja na mkandarasi wa mradi wa Kisarawe II mara baada ya kumaliza  akikagua ujenzi wa tenki la kuhufadhia maji litakalokuwa na ujazo wa milioni 15 na moja ya kisima chenye urefu mita 603.5 kwenda chini kilichopo katika kata ya Kisarawe II Wilaya ya Kigamboni mkoani Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi  akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi( wa kwanza kulia)  kuhusu kituo cha kusukumia maji kilichopo Mkuranga mkoani Pwani Wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akikagua kituo cha kusukumia maji kilichopo Mkuranga mkoani Pwani Wakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi( wa kwanza kulia) kuhusu namna kituo cha kusukumia maji hicho kinavyofanya kazi kilicakati wa ziara yake ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA.
Muonekano wa pampu ya kusukumia maji iliyopo Mkuranga Mkoani Pwani.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi( wa kwanza kulia) kuhusu namna ujenzi wa tenki la kuhifadhia maji lenye ujazo wa Lita Milioni 1.5 ulivyofanyika pamoja na linavyowahudumia wakazi wa Mkuranga ziara yake ya kukagua miradi ya maji inayotekelezwa na DAWASA.
Mkurugenzi wa Miundombinu na Uwekezaji DAWASA Mhandisi Ramadhani Mtindasi akizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna walivyoweza kutekeleza miradi ya Kisarawe II pamoja na Mkuranga-Vikindu kwa kutumia asilimia 35 ya Mapato yanayokusanywa na DAWASA na kwenda kwenye miradi wakati wa Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi alipokuwa anakagua miradi inayotekelezwa na DAWASA.
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi  akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumaliza ziara yake kwenye miradi Kisarawe II pamoja na Mkuranga-Vikindu na kujionea ufanisi wa miradi hiyo inayotekelezwa na DAWASA.
Muonekano wa tanki la maji la Mkuranga lenye uwezo wa kujaza maji Lita Milioni 1.5 



Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2