MAKABIDHIANO YA OFISI YA TADB | Tarimo Blog

 

Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Frank Nyabundege (kulia), akikabidhiwa nyaraka za ofisi na Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa benki hiyo, Bw. Japhet Justine, wakati wa hafla fupi ya makabidhiano iliyofanyika katika ofisi za benki hiyo jana jijini Dar es Salaam. Bw. Nyabundege aliteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuongoza benki hiyo ya kilimo tarehe 5 Agosti, 2021.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2