MAKAMU WA KWANZA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAJUMBE CHAMA CHA MABAHARIA | Tarimo Blog

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman ( katikati) akizungumza na ujumbe wa Chama cha Mabaharia Zanzibar leo ofisini kwake migombani( kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha mabaharia zanzibar nd.  Hamaza usi AME, Katibu wa chama hicho Hussein Nassor Uki, na Hamad said malik ambaye ni Makamu mwenyeki na kutoka kulia wa kwanza ni Ali Mzee ali katibu wa vijana wa chama cha mabaharia na Kheir Abdulrahman Suleiman Mjumbe wa kamati Tendaji wa chama hicho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zaanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman ( kulia) akizungumza na Mwenyekiti wa Chama cha Mabaharia Zanzibar Bw. Hamza Ussi Ame. Mazungumzo hayo yamefanyika ofisini kwa Makamu wa Rais Migombani leo mjini Zanzibar 
 Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar (katikati)  Mhe. Othman Masoud Othman akizungumza na Kamisaa wa Sensa  Zanzibar Mhe. Balozi Mohammed Hamaza na  wa pili ni Mtakwimu mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mayasa Mahfudh Mwinyi
 ( Picha kwa hisani ya ofisi ya Makamu wa kwanza wa rais wa Zanzibar.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2