Baadhi ya wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakifutilia maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Union for Multiparty Democracy Bw. Moshi Kigandula(hayupo pichani) wakati wa zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam.
Kutoka kushoto ni wajumbe wa kikosi kazi cha zoezi la uhakiki wa Vyama vya Siasa toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bibi. Chevu Sepeku, Bibi. Edna Assey na Khadija Wanjara wakifanya wakikagua rejista ya wanachama wa Chama cha Union for Multparty Democracy (UMD) wakati wa zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam.
Baadhi ya wawakilishi kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakifutilia maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha Union for Multiparty Democracy Bw. Moshi Kigandula(hayupo pichani) wakati wa zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam.
Wawakilishi wa Kikosi Kazi cha zoezi la Uhakiki kutoka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Chama cha Union for Multiparty Democracy (UMD) mara baada ya kukamilisha zoezi la uhakiki na ufuatiliaji utekelezaji wa Sheria zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa jana jijiji Dar es Salaam. (Picha na: ORPP).
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment