MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ASHIRIKI IBADA YA KRISMAS | Tarimo Blog



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiwa na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 25 desemba 2021 wameungana na waumini wa kanisa katoliki la mtakatifu Paulo wa Msalaba Jimbo Kuu la Dodoma kushiriki ibada ya misa takatifu ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo (Krismasi) misa ilioongozwa na Padri Julius Soteri. Desemba 25,2021.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2