WAZIRI MULAMULA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MT. LUCIA | Tarimo Blog




Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akimkabidhi zawadi Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Anders Sjöberg katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia .



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akipokea zawadi ya picha kutoka kwa Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Anders Sjöberg katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia. Sherehe hiyo iliandaliwa na Ubalozi wa Sweden.



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akiteta jambo na Mbunge wa Urambo (CCM), Margreth Sitta katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akijadili jambo na Balozi wa Norway Mhe. Elisabeth Jacobsen pamoja na Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Mette Norgaard Spandet katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula akijadili jambo na Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Anders Sjöberg pamoja na Balozi wa Norway Mhe. Elisabeth Jacobsen



Balozi wa Denmark nchini, Mhe. Mette Norgaard Spandet akifurahia jambo na Mbunge wa Urambo (CCM), Margreth Sitta pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Swahiba Mndeme



Badhi ya watoto wakiimba nyimbo maalum ya kumbukizi ya Mtakatifu Lucia



Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo pamoja na viongozi wengine akiwemo Mbunge wa Urambo Magreth Sitta wakifuatilia sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia





Balozi wa Sweden hapa nchini Mhe. Anders Sjöberg akiongea na viongozi mbalimbali walioshiriki katika sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia



Badhi ya watoto wakiimba nyimbo maalum ya kumbukizi ya Mtakatifu Lucia



Baadhi ya viongozi wakishuhudia sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia



Maadhimisho ya Sherehe ya Mtakatifu Lucia yakiendelea



……………………………………………………………

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula ameshiriki  sherehe za maadhimisho ya Mtakatifu Lucia iliyoandaliwa na Ubalozi wa Sweden hapa nchini. Mbali na Balozi Mulamula, Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo pia alishiriki katika hafla hiyo iliyofanyika jana jioni jijini Dar es Salaam.




Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2