RAIS MWINYI AFUNGUA JENGO LA MAHKAMA KUU ZANZIBAR TUNGUU IKIWA SHAMRASHARA ZA MIAKA 58 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR | Tarimo Blog

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

MAJAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)


MTENDAJI wa Mahkama Kuu Zanzibar Ndg.Kai Mashiri Mbarouk akitowa maelezo ya kitaalamu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Jengi Jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za lusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
JAJI Mkuu wa Mahkama Kuu Tanzania Mhe Prof Ibrahim Hamis Juma akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Jengo Jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KAIMU Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Andalla akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu ya Zanzibar Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,hafla hiyo imefanyika katika viwanja vya jengo hilo Tunguu.
/MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na (kulia kwake) Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais Mstaaf Balozi Seif Ali Iddi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu ya Sita Mhe.Dkt.Amani Karume, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu,ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroub Ali Suleiman, baada ya kumalizika kwa hafla ya ufunguzi wa jengo jipya la Mahkama Kuu Zanzibar Tunguu, ikiwa ni shamrashamra za kusherehekea maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2