Jengo la madarasa manane la Skuli ya Sekondari ya Nungwi lililofunguliwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Simai Mohamed Said akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR
Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA
Post a Comment