WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MUFTI NA SHEIKH MKUU | Tarimo Blog


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Abubakar Bin Zubeir ambaye amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) mkoani Dar es salaam kwa matibabu, Januari 5, 2022. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI  Dkt. Samweli Swai.

Mafunzo ya Ufugaji Bora na Matibabu, Jiunge sasa kwa KUBOFYA HAPA

0/Post a Comment/Comments

Previous Post Next Post

Ad

Ads1

Sponsor Ad

Ads2